| 1.Kuheshimu jamii | 1.1 Kujipenda na kuwapenda watu wengine | a) Kutenda matendo ya kuheshimu watu wote
b) Kutenda matendo ya kujipenda
| | | | | |
| --1.Kuheshimu jamii | --1.1 Kujipenda na kuwapenda watu wengine | --c)Kutenda matendo
yenye kuonyesha upendo kwa watu wote
d)Kutambua kipaji alichonacho na
kukiendeleza
| | | | | |
| Kuipenda na kujivunia shule yake | 1.2Kuipenda na kujivunia shule yake | a) Kufahamu shule yake
| | | | | |
| Kuipenda na kujivunia shule yake | 1.2Kuipenda na kujivunia shule yake | --b) Kutunza mazingira ya shule yake | | | | | |
| Kuipenda na kujivunia shule yake | 1.2Kuipenda na kujivunia shule yake | c)Kuiletea sifa shule yake | | | | | |
| kuheshimu jamii | 1.3 Kuipenda Tanzania kwa kuenzi tunu za nchi na
asili yake
| a) Kutambua alama za Taifa
b) Kutambua tunu za Taifa la Tanzania
c)Kutambua
asili ya nchi ya Tanzania
| | | | | |