| Kuheshimu jamii | 1.1 Kujipenda na
kuwapenda watu
wengine
| a)Kubainisha vitendo visivyofaa kumtendea mtu yeyote
| | | | | |
| --Kuheshimu jamii | --1.1 Kujipenda na
kuwapenda watu
wengine | --b) Kutenda shughuli mbalimbali
kwa kuzingatia mwongozo anaopewa na walimu, wazazi/ walezi
c)Kubainisha matendo yanayoonyesha upendo kwa familia yake
| | | | | |
| --Kuheshimu jamii | --1.1 Kujipenda na
kuwapenda watu
wengine | --d)Kubaini matendo yanayojitokeza katika jamii ambayo yanahatarisha usalama wake
| | | | | |
| Kuheshimu jamii | 1.2 Kuipenda na kujivunia shule yake | a)Kutambua muundo wa uongozi katika shule yake
b)Kuzingatia sheria na kanuni za shule yake
| | | | | |
| --Kuheshimu jamii | --1.2 Kuipenda na kujivunia shule yake | --c)Kushiriki katika shughuli zenye kuiletea sifa shule yake
| | | | | |
| 1.Kuheshimu jamii | 1.3 Kuipe
nda
Tanzania kwa kuenzi tunu za nchi na asili yake
| a)Kuchora alama za Taifa
b) Kuthamini alama za Taifa
c)Kubainisha dhana ya demokrasia
| | | | | |