| Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali. | 1.1Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali. | a) Kutoa neno
moja lililobeba maana ya
jumla badala
ya kifungu cha maneno (kuku, njiwa, kunguru ndege).
b) Kutega na kutegua vitendawili vinavyoakisiwa na picha.
| | | | | |
| --Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali. | --1.1Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali. | c) Kufafanua ujumbe ulio kwenye methali zilizotolewa.
d) Kueleza maana
iliyo kwenye nahau zilizo
orodheshwa.
| | | | | |
| --Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali. | --1.1Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali. | --e) Kulinganisha vitu kwa kuzingatia ukubwa na udogo kwa kutumia
muundo wa
| | | | | |
| --Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali. | --1.1Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali. | --f) Kutambua rangi za vitu mbalimbali
g) Kuelezea watu kwa kuzingatia shughuli zao.
| | | | | |
| --Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali. | --1.1Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali. | --h) Kueleza
matukio kwa kutumia nyakati mbalimbali katika sentensi.
- Uliopo
- uliopita - mazoea - mtimilifu
| | | | | |
| --Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali. | --1.1Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali. | --i) Kukanusha matukio
ya nyakati mbalimbali kwa kutumia sentensi .
| | | | | |