| 1. Kuheshimu jamii | 1.1Kujipenda na
kuwapenda watu wengine
| a) Kutenda matendo yenye kuonyesha upendo kwa watu wenye mahitaji
maalumu
b) Kutenda matendo yenye kuheshimu jinsi
| | | | | |
| --1. Kuheshimu jamii | --1.1Kujipenda na
kuwapenda watu wengine | --c) Kuvaa
mavazi yenye staha katika miktadha mbalimbali
| | | | | |
| 1. Kuheshimu jamii | 1.2Kuipenda na kujivunia shule yake | a) Kufafanua
sifa nzuri na mbaya zinazoitambuli- sha shule yake kwa hisia
| | | | | |
| --1. Kuheshimu jamii | --1.2Kuipenda na kujivunia shule yake | --b)Kuchora
nembo ya shule yake
c) Kufanya shughuli za kujitolea shuleni
| | | | | |
| 1. Kuheshimu jamii |
1.3 Kuipenda Tanzania kwa kuenzi tunu mbalimbali
za nchi
| a) Kufafanua mila na desturi za Kitanzania
b) Kutenda matendo yanayodumisha utamaduni wa Taifa
| | | | | |
| --1. Kuheshimu jamii | --1.2Kuipenda na kujivunia shule yake | --c)Kufafanua matumizi ya alama za Taifa
| | | | | |