| Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali | Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali | a) Kutega na kutegua vitendawili na kuvihusianisha na vitu vilivyopo katika mazingira kwa usahihi
| | | | | |
| Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali | Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali | b) Kutamba ngonjera kwa kuzingatia kanuni za utambaji | | | | | |
| Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali | Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali | c) Kutumia nahau katika habari fupi na kuelezea maana zake
| | | | | |
| Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali | Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali | d) Kutafsiri taswira inayoakisiwa na nahau | | | | | |
| Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali | Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali | e) Kutunga sentensi kwa kutumia kauli halisi
| | | | | |
| Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali | Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali | f) Kutunga sentensi kwa kutumia kauli taarifa | | | | | |