| Kutumia lugha ya kihisabati katika kuwasilisha wazo au hoj a. | a) Kutumia dhana ya namba katika kuwasiliana
kuwas katika mazingira tofauti.
| i) Kuhesabu hadi
999999 kwa mfuatano.
ii) Kusoma namba hadi 999999.
iii) Kuandika namba kwa tarakimu hadi 999999.
iv) Kuandika namba kwa maneno hadi 999999.
| | | | | |
| --Kutumia lugha ya kihisabati katika kuwasilisha wazo au hoj a. | --a) Kutumia dhana ya namba katika kuwasiliana
kuwas katika mazingira tofauti. | --v) Kubaini thamani ya tarakimu
katika namba (mamoja,
makumi, mamia,
maelfu, makumi elfu na mamia elfu).
| | | | | |
| --Kutumia lugha ya kihisabati katika kuwasilisha wazo au hoj a. | --a) Kutumia dhana ya namba katika kuwasiliana
kuwas katika mazingira tofauti. | --vi) Kulinganisha
sehemu.
| | | | | |
| --Kutumia lugha ya kihisabati katika kuwasilisha wazo au hoj a. | --a) Kutumia dhana ya namba katika kuwasiliana
kuwas katika mazingira tofauti. | --vii)Kubaini aina
za sehemu.
| | | | | |
| --Kutumia lugha ya kihisabati katika kuwasilisha wazo au hoj a. | --a) Kutumia dhana ya namba katika kuwasiliana
kuwas katika mazingira tofauti. | --viii) Kusoma desimali hadi nafasi mbili.
ix) Kuandika desimali hadi nafasi mbili.
| | | | | |
| Kufikiri na kuhakiki katika maisha ya kila siku. | b) Kutumia stadi za mpangilio kufumbua mafumbo katika
maisha ya kila siku.
| i) Kuorodhesha aina za namba
ii) Kutaja namba shufwa.
| | | | | |