| Kufanya Uchunguzi na
Ugunduzi
wa
kisayansi na kiteknolojia.
| 1.1 Kuchunguza vitu
vilivyomo katika mazingira.
| (a) Kubaini makundi ya viumbe hai.
| | | | | |
| --Kufanya Uchunguzi na
Ugunduzi
wa
kisayansi na kiteknolojia. | --1.1 Kuchunguza vitu
vilivyomo katika mazingira. | --(b) Kueleza namna mmea unavyo jitengenezea chakula
chake (usanishaji chakula).
| | | | | |
| --Kufanya Uchunguzi na
Ugunduzi
wa
kisayansi na kiteknolojia. | --1.1 Kuchunguza vitu
vilivyomo katika mazingira. | --(c) Kufafanua dhana ya uzazi katika wanyama na mimea.
| | | | | |
| --Kufanya Uchunguzi na
Ugunduzi
wa
kisayansi na kiteknolojia. | --1.1 Kuchunguza vitu
vilivyomo katika mazingira. | --(d) Kueleza kutegemeana kwa vitu
na viumbe hai katika mazingira.
| | | | | |
| --Kufanya Uchunguzi na
Ugunduzi
wa
kisayansi na kiteknolojia. | --1.1 Kuchunguza vitu
vilivyomo katika mazingira. | --(e) Kufafanua dhana ya kujirekebisha kwa viumbe hai kulingana na mazingira.
| | | | | |
| Kufanya Uchunguzi na
Ugunduzi
wa
kisayansi na kiteknolojia. | 1.2 Kutambua aina
anuai za nishati na matumizi yake
| (a) Kufanya vitendo vya kuonesha matumizi
ya lenzi mbonyeo na lenzi mbinuko
| | | | | |