| 1.Kuheshimu jamii | 1.1 Kujipenda na kuwapenda
watu wengine | a) Kuonyesha tabia ya
kupenda kutoa msaada kwa watu wenye
mahitaji mbalimbali
b)Kuthamini mchango wa watu wengine katika ustawi wa jamii
| | | | | |
| 1.Kuheshimu jamii | 1.1 Kujipenda na kuwapenda
watu wengine | c) Kuonyesha matendo mema na ya heshima
d) Kutenda matendo ya kujilinda na
kuwalinda wengine
kutokana na makundi rika hatarishi | | | | | |
| 1.Kuheshimu jamii | 1.2Kuipenda
na kujivunia
shule yake | a)Kueleza
ujumbe uliomo
katika kauli
mbiu na
wimbo wa
shule yake
b)Kutunga
nyimbo/
ngonjera/
mashairi ya
kuisifu shule
yake | | | | | |
| 1.Kuheshimu jamii | 1.3Kuipenda
Tanzania
kwakuenzi
tunu
mbalimbali
za nchi na
asili yake | a) Kufafanua
njia
mbalimbali
za kuitangaza
nchi yake ya
Tanzania
b) Kueleza umuhimu wa tunu za Taifa
| | | | | |
| 1.Kuheshimu jamii | 1.3Kuipenda
Tanzania
kwakuenzi
tunu
mbalimbali
za nchi na
asili yake | c) Kubainisha muundo wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
d) Kueleza dhamira ya sikukuu za kitaifa.e)Kufafanua jinsi demokrasia inavyotumika nchini | | | | | |
| 2. Kuthamini
jamii | 2.1 Kujijali
na kuwajali
wengine | a)Kukemea
vitendo
vinavyoweza
kuhatarisha
ustawi wa jamii
b)Kufanya
vitendo vinavyo
wavutia
wenzake
kujiepusha na
tabia hatarishi
c)Kuomba
ushauri nasaha
pale
inapohitajika
| | | | | |