| 1. Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali | 1.1Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali | a) Kuimba wimbo wa kizalendo kwa ufasaha (Tazama Ramani).
b) Kutaja na Kueleza mawazo makuu yaliyomo katika wimbo wa kizalendo.
| | | | | |
| 1. Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali | 1.1Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali | c) Kughani shairi kwa kuzingatia kanuni za mashairi (vina, mizani na kituo)
| | | | | |
| 1. Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali | 1.1Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali | d) Kuigiza igizo dhima kuhusu Elimu ya Manunuzi na kueleza maudhui yake.
| | | | | |
| 1. Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali | 1.1Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali | e) Kusimulia hadithi yenye methali na kuelezea maana ya mafunzo yaliyopatikana katika methali
| | | | | |
| 1. Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali | 1.1Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali | f) Kubainisha na kueleza taswira za kimawazo zilizo katika nahau kutoka katika hadithi..
| | | | | |
| 1. Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali | 1.1Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali | g) Kusimulia mambo yaliyoonekana baada ya kufanya ziara fupi katika mazingira ya jirani na shule.
| | | | | |