| 1.0 Kufanya
Uchunguzi na
Ugunduzi wa
kisayansi na
kiteknolojia | 1.1 Kuchunguza
vitu vilivyopo
katika
mazingira | a) Kufafanua gesi
zinazounda hewa
b) Kubaini mahitaji
muhimu katika
ukuaji wa mmea
| | | | | |
| 1.0 Kufanya
Uchunguzi na
Ugunduzi wa
kisayansi na
kiteknolojia | 1.1 Kuchunguza
vitu vilivyopo
katika
mazingira | c) Kufanya jaribio
la kuthibitisha
usanishaji
chakula katika
mmea
d) Kutofautisha aina
za udongo
| | | | | |
| 1.0 Kufanya
Uchunguzi na
Ugunduzi wa
kisayansi na
kiteknolojia | 1.1 Kuchunguza
vitu vilivyopo
katika
mazingira | e) Kubaini vitendo
vinavyosababisha
athari katika
udongo
| | | | | |
| 1.0 Kufanya
Uchunguzi na
Ugunduzi wa
kisayansi na
kiteknolojia | 1.1 Kuchunguza
vitu vilivyopo
katika
mazingira | f) Kufanya vitendo
vya kutunza
udongo | | | | | |
| 1.0 Kufanya
Uchunguzi na
Ugunduzi wa
kisayansi na
kiteknolojia | 1.2 Kutambua
aina anuai
za nishati na
matumizi yake | a) Kufanya vitendo
vya kuthibitisha
kanuni ya Ohm
katika mkondo
wa umeme
b) Kueleza dhana ya
kukinga sakiti na
majengo dhidi ya
umeme mkubwa
| | | | | |
| 1.0 Kufanya
Uchunguzi na
Ugunduzi wa
kisayansi na
kiteknolojia | 1.2 Kutambua
aina anuai
za nishati na
matumizi yake | -c) Kufafanua
dhana ya nishati
jadidifu
| | | | | |