| 1. Kuheshimu
jamii | 1.1 Kujipenda na
kuwapenda
watu wengine | a) Kuchambua
vitendo vya
kuelimisha
jamii kuhusu
kutoa
misaada ya
mahitaji
ya watu
mbalimbali
| | | | | |
| 1. Kuheshimu
jamii | 1.1 Kujipenda na
kuwapenda
watu wengine | b) Kubainisha
vitendo vya
kuhudumia
na kuwafariji
watu
wanaokosa
mahitaji
mbalimbali
katika jamii | | | | | |
| 1. Kuheshimu
jamii | 1 2 Kuipenda
na kujivunia
shule yake | a) Kutofautisha
kwa mifano
vitendo
vya kutoa
misaada
mbalimbali
ya kuleta
maendeleo
ya shule yake
| | | | | |
| 1. Kuheshimu
jamii | 1.1 Kujipenda na
kuwapenda
watu wengine | b) Kutekeleza
mpango
wa kazi za
kujitolea
ili kuleta
maendeleo
ya shule yake
| | | | | |
| 1. Kuheshimu
jamii | 1.1 Kujipenda na
kuwapenda
watu wengine | c) Kutumia njia
na mbinu
mbalimbali
kuitangaza
shule yake
kwa watu
wengine
| | | | | |
| 1. Kuheshimu
jamii | 1 3 Kuipenda
Tanzania
kwa kuenzi
tunu za nchi
na asili yake | a) Kubuni
vitendo vya
kuhamasisha
na
kudumisha
amani katika
jamii
b) Kufafanua
vitendo
vinavyo
ashiria uhuru
na umoja wa
Taifa
| | | | | |