| 1.0 Kuwasiliana
katika
miktadha
mbalimbali | 1.1 Kuanzisha
na kuendeleza
mazungumzo
katika
miktadha
mbalimbali | a) Kubainisha na
kueleza sifa
za mashairi
ya kimapokeo
na kisasa na
kuyatofautisha
b) Kutunga
mashairi ya
kimapokeo
yenye
mishororo
minne kwa
kuzingatia
kanuni za
utunzi wa
mashairi na
kuyahusianisha
na mazingira
ya kila siku
c) Kutunga
mashairi ya
kisasa yenye beti
sita au zaidi na
kuyahusianisha
na mazingira ya
kila siku
| | | | | |
| 1.0 Kuwasiliana
katika
miktadha
mbalimbali | 1.1 Kuanzisha
na kuendeleza
mazungumzo
katika
miktadha
mbalimbali | b) Kutunga
mashairi ya
kimapokeo
yenye
mishororo
minne kwa
kuzingatia
kanuni za
utunzi wa
mashairi na
kuyahusianisha
na mazingira
ya kila siku
c) Kutunga
mashairi ya
kisasa yenye beti
sita au zaidi na
kuyahusianisha
na mazingira ya
kila siku
| | | | | |
| 1.0 Kuwasiliana
katika
miktadha
mbalimbali | 1.1 Kuanzisha
na kuendeleza
mazungumzo
katika
miktadha
mbalimbali | d) Kughani tenz na kuelezea ujumbe
unaopatikana na kuhusianisha na mazingira ya kila siku
| | | | | |
| 1.0 Kuwasiliana
katika
miktadha
mbalimbali | 1.1 Kuanzisha
na kuendeleza
mazungumzo
katika
miktadha
mbalimbali | e) Kuchambua
maudhui yote
yaliyomo katika
mashairi ya
kimapokeo
na kisasa,
kuyaelezea na
kuyahusianisha
na mazingira ya
kila siku
| | | | | |
| 1.0 Kuwasiliana
katika
miktadha
mbalimbali | 1.1 Kuanzisha
na kuendeleza
mazungumzo
katika
miktadha
mbalimbali | f) Kutafsiri
lugha ya picha
katika ngonjera
na kutamba
kingojera na
kuhusianisha na
maisha ya kila
siku
| | | | | |
| 1.0 Kuwasiliana
katika
miktadha
mbalimbali | 1.1 Kuanzisha
na kuendeleza
mazungumzo
katika
miktadha
mbalimbali | g) Kutafsiri lugha
ya picha katika
vitendawili
na kuelezea
maana zake kwa
kuhusianisha na
maisha ya kila
siku
| | | | | |