| 1.0 Kutumia
lugha ya
kihisabati
kuwasilisha
wazo au hoja
katika maisha
ya kila siku
(sehemu ya
kwanza) | 1.1 Kutumia
dhana ya
namba
kuwasiliana
katika
mazingira
tofauti | a) Kubaini
thamani ya
nafasi za
tarakimu
katika namba
zisizozidi
1 000 000 000
b) Kusoma
namba nzima
zisizozidi
1 000 000 000
zilizoandikwa
kwa maneno
c) Kusoma
namba nzima
zisizozidi
1 000 000 000
zilizoandikwa
kwa tarakimu
d) Kuandika
namba nzima
zisizozidi
1 000 000 000
kwa numerali
| | | | | |
| 1.0 Kutumia
lugha ya
kihisabati
kuwasilisha
wazo au hoja
katika maisha
ya kila siku
(sehemu ya
kwanza) | 1.1 Kutumia
dhana ya
namba
kuwasiliana
katika
mazingira
tofauti | e) Kuandika
namba nzima
zisizozidi
1 000 000 000
kwa maneno
| | | | | |
| 1.0 Kutumia
lugha ya
kihisabati
kuwasilisha
wazo au hoja
katika maisha
ya kila siku
(sehemu ya
kwanza) | 1.1 Kutumia
dhana ya
namba
kuwasiliana
katika
mazingira
tofauti | f) Kujumlisha
namba nzima
kupata jumla
isiyozidi
1 000 000 000
bila kuchukua
na kwa
kuchukuag) Kutoa namba
nzima hadi
1 000 000 000
bila kuchukua
na kwa
kuchukua
| | | | | |
| 1.0 Kutumia
lugha ya
kihisabati
kuwasilisha
wazo au hoja
katika maisha
ya kila siku
(sehemu ya
kwanza) | 1.1 Kutumia
dhana ya
namba
kuwasiliana
katika
mazingira
tofauti | h) Kuzidisha
namba nzima
kupata zao
lisilozidi
1 000 000 000
| | | | | |
| 1.0 Kutumia
lugha ya
kihisabati
kuwasilisha
wazo au hoja
katika maisha
ya kila siku
(sehemu ya
kwanza) | 1.1 Kutumia
dhana ya
namba
kuwasiliana
katika
mazingira
tofauti | i) Kugawanya
namba nzima
zenye kigawanye
kisichozidi
1 000 000 000
kwa kigawanyo
kisichozidi laki
moja bila baki
| | | | | |
| 1.0 Kutumia
lugha ya
kihisabati
kuwasilisha
wazo au hoja
katika maisha
ya kila siku
(sehemu ya
kwanza) | 1.1 Kutumia
dhana ya
namba
kuwasiliana
katika
mazingira
tofauti | j) Kugawanya
namba
nzima zenye
kigawanye
kisichozidi
1 000 000 000
kwa kigawanyo
kisichozidi laki
moja na baki | | | | | |