| 1.0 Kutambua
matukio
yanayotokea
katika
mazingira
yanayo
mzunguka | 1.1 Kutunza
mazingira ya
jamii inayo
mzunguka | a) Kuchambua
majanga ya asili
na jinsi yanavyosababisha
uharibifu wa
mazingira
na kuathiri
mahusiano ya
kutegemeana
katika mazingira
b) Kubainisha
vyanzo vya
majanga ya
asili kwa
kuhusianisha
chanzo kimoja na
kingine
| | | | | |
| 1.0 Kutambua
matukio
yanayotokea
katika
mazingira
yanayo
mzunguka | 1.1 Kutunza
mazingira ya
jamii inayo
mzunguka | c) Anachambua
tahadhari za
kuchukua ili
kukabiliaana
na madhara
ya majanga ya
asili kwa kutoa
mifano
| | | | | |
| 1.0 Kutambua
matukio
yanayotokea
katika
mazingira
yanayo
mzunguka | 1.1 Kutunza
mazingira ya
jamii inayo
mzunguka | d) Kuchanganua
vyanzo vya
janga la moto na
taratibu za kuzuia
janga hilo
| | | | | |
| 1.0 Kutambua
matukio
yanayotokea
katika
mazingira
yanayo
mzunguka | 1.1 Kutunza
mazingira ya
jamii inayo
mzunguka | e) Kuelezea
namna ya
kutumia kanuni
za kuzima
moto na
uokoaji katika
mazingira
yanayomzu-
nguka | | | | | |
| 1.0 Kutambua
matukio
yanayotokea
katika
mazingira
yanayo
mzunguka | 1.2 Kutunza
kumbu
kumbu za
matukio ya
Kihistoria | a) Kulinganisha
maendeleo ya
zana za uzalishaji
mali za zama
za mawe, zama
za chuma na
na maendeleo
ya sayansi na
teknolojia kwa
sasa
| | | | | |
| 1.0 Kutambua
matukio
yanayotokea
katika
mazingira
yanayo
mzunguka | 1.2 Kutunza
kumbu
kumbu za
matukio ya
Kihistoria | b) Kutofautisha
mabadiliko ya
kimaendeleo
kati ya zama
za mawe na
zama za chuma
kwenye nyanja
za kiuchumi,
kijamii, kisiasa
na kiutamaduni
| | | | | |